Msaada: Jinsi ya Ku-dilute acetic acid/citric acid

Msaada: Jinsi ya Ku-dilute acetic acid/citric acid

OK, tuanzie hapo kwenye White Vinegar hiyo natumai inapatikana madukani kwenye maduka ya Viungo vya Chakala.
Kuna product natengeneza inanilazimu kutumia vinegar sasa kwa bei ninayonunulia ni kubwa sana kulingana na matumizi yangu, ndio maana nataka kutengeneza mwenyewe kupunguza gharama za uzalishaji
 
Pi


Pili kuhusu dilution ya 5% Kama itakuwa niko sawa fanya hivi.
Kwenye chombo cha kuzimulia (Dilution) hiyo Acetic acid kwa kipimo utakacho chagua Maji yawe 95% na Acetic acid iwe 5%.
Kama utakuwa umenielewa ni hivi kifupi kwenye lita 100 za Maji Acetic acid iwe lita 5 (tano) .
Kwenye Lita moja ya maji utaweka Vinegar 50 ml (mililita 50) Sawa na Vijiko Vitano vya Kulia chakula AU chupa ya glycerin ndogo ya Banister.
Ahsante ndugu yangu ndo nilivyoweza kufikiri utaonana na wataalamu kwa uhakika zaidi.
Asante sana mkuu, sasa hapo umezungumzia acetic acid iliyo kwenye liquid sasa je iliyo kwenye powder je?
 
Sasa hapo kwenye 5% ndo sijapaelewa[/QUOTE]
Vinegar inapatikana madukani ni Acetic acid iliyozimuliwa tayari kataalamu.

Vinegar (acetic acid) ya dukani kwani ni 100%?? ile tayar ipo diluted so inapaswa awe makini aangalie percentage kabla haja dilute maana atapata kitu tofaut na alichokusudia. Kwamfano kama ile ya dukani ni 5% afu akachukua 5mls akazidilute tena maana yake anapunguza zid concentration. So atatengeneza solution ya ambayo concentaration ni chini zaid.

Habari za usiku ndugu zangu, naomba mnisaidie jinsi ya Ku dilute acetic acid/citric acid ambayo ipo katika powder into liquid

Ila sababu wewe unataka kureconstitute acetic acid in powder form. basi pima 5g kwenye analytical balance, kisha pima 95g of distilled water (actually pima 95ml of distilled water since density ya maji ni 1g/ml). Mwisho reconstitute 5g of acetic acid into the 95 ml of distilled water then mix thoroughly. Total itakuwa ni 100g hivyo concentation itakuwa 5g of acetic acid/ 100g or more prefered 5g/100ml.
 
Back
Top Bottom