Msaada: Jinsi ya Ku-dilute acetic acid/citric acid

Msaada: Jinsi ya Ku-dilute acetic acid/citric acid

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,052
Habari za usiku ndugu zangu, naomba mnisaidie jinsi ya Ku dilute acetic acid/citric acid ambayo ipo katika powder into liquid
 
Mkuu wewe google to 'how to dilute citric acid' utapata. Naamini utahitaji Distilled water ingawa sijui kiwango.
Citric acid asili yake ni matunda jamii ya machungwa.
 
Halafu hiyo packet haina instructions? Epuka kutumia hayo makitu ni sumu mwilini.
 
Mkuu wewe google to 'how to dilute citric acid' utapata. Naamini utahitaji Distilled water ingawa sijui kiwango.
Citric acid asili yake ni matunda jamii ya machungwa.
Nimeona maelezo haya

is actually dilute acetic acid. Take glacial acetic acid and dilute it down to about 5% and then you have white vinegar. That’s all there is to it. White vinegar is simply dilute acetic acid.

Sasa hapo kwenye 5% ndo sijapaelewa
 
Shukrani mkuu, sasa naomba njia mbadala ya kutumia kitu cha asili chenye kufanana na acetic acid
Kwa nn kwanza utumie? Una ttz gani? Huenda kuna mbadala wake. Ulishauriwa na nani na kwa sababu gani? Tuanzie hapo kwanza
 
inabidi ufahamu unataka kudilute kwa concentration.gani?? kabla ya chochote kwanza na hiyo acetic acid ni ya asilimia ngapi apo imeandikwa kwenye maelezo kisha rudi hapa nikuelekeze
 
Nimeona maelezo haya

is actually dilute acetic acid. Take glacial acetic acid and dilute it down to about 5% and then you have white vinegar. That’s all there is to it. White vinegar is simply dilute acetic acid.

Sasa hapo kwenye 5% ndo sijapaelewa

OK, tuanzie hapo kwenye White Vinegar hiyo natumai inapatikana madukani kwenye maduka ya Viungo vya Chakala.
 
Pi
Nimeona maelezo haya

is actually dilute acetic acid. Take glacial acetic acid and dilute it down to about 5% and then you have white vinegar. That’s all there is to it. White vinegar is simply dilute acetic acid.

Sasa hapo kwenye 5% ndo sijapaelewa

Pili kuhusu dilution ya 5% Kama itakuwa niko sawa fanya hivi.
Kwenye chombo cha kuzimulia (Dilution) hiyo Acetic acid kwa kipimo utakacho chagua Maji yawe 95% na Acetic acid iwe 5%.
Kama utakuwa umenielewa ni hivi kifupi kwenye lita 100 za Maji Acetic acid iwe lita 5 (tano) .
Kwenye Lita moja ya maji utaweka Vinegar 50 ml (mililita 50) Sawa na Vijiko Vitano vya Kulia chakula AU chupa ya glycerin ndogo ya Banister.
Ahsante ndugu yangu ndo nilivyoweza kufikiri utaonana na wataalamu kwa uhakika zaidi.
 
inabidi ufahamu unataka kudilute kwa concentration.gani?? kabla ya chochote kwanza na hiyo acetic acid ni ya asilimia ngapi apo imeandikwa kwenye maelezo kisha rudi hapa nikuelekeze
Shukrani ntafanya hvyo
 
Back
Top Bottom