MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,227
Nimeiona Boss wangu,
Shida kwenye ku download ile file uliosema vimekuja vitu sivielewi,
Nimefika hapa nika download lakini kinachokuja sikielewi,
View attachment 673142
Skip ads
Nimeiona Boss wangu,
Shida kwenye ku download ile file uliosema vimekuja vitu sivielewi,
Nimefika hapa nika download lakini kinachokuja sikielewi,
View attachment 673142
Hapo nime delete ads,
Ukishazipata hizo file utafanyaje kuflash simu??NI ZIP FILE UNATAKIWA UNZIP ALAFU NDANI YAKE UTAONA FILES AMBAZO UTAFLSH SEKUNDE KUMI TU
password ni L004 iyo iyo zip
NI ZIP FILE UNATAKIWA UNZIP ALAFU NDANI YAKE UTAONA FILES AMBAZO UTAFLSH SEKUNDE KUMI TU
password ni L004 iyo iyo zip