Msaada, Jinsi ya Ku-bypass Google Verification for Tecno N2

Lady Ra

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
886
Reaction score
1,011
Wakuu kwema humu??
Za Masiku??
Nina simu yangu ya Tecno N2 nilisahau password na kwa msaada wa watu wa hili Jukwaa plus Google/Youtube nikaweza kui-restart lakini sasa ndio inanihitaji Gmail niliyosajilia ambayo imekataa.

Nimejaribu kutafuta njia mbalimbali but nazipata za ku-bypass aina zingine za simu, sijaona ya Tecno N@ iliyofaa. Kuna ambayo nimeikuta youtube ya somebody Juma lakini still haifanyi kwa simu yangu.

Msaada wenu unahitajika kwenye hili kwa anaejua please.
 
Kuna mdau aliletaga maujanja hapa JF, nikakopi maelezo yake, nilisave kwenye simu nyingine. Nisubiri nusu saa nikifika home
Kabla sijaleta, ungesema ulitumia njia ipi uliyoshindwa ili tuokoe muda.
 
Rudisha simu ulikoitoa huwez sahau password had email yako!km hukumbuki lete elfu 10 tukutolee
 
Njoo na 20000 mkononi, PM
Rudisha simu ulikoitoa huwez sahau password had email yako!km hukumbuki lete elfu 10 tukutolee
images
 
Kuna mdau aliletaga maujanja hapa JF, nikakopi maelezo yake, nilisave kwenye simu nyingine. Nisubiri nusu saa nikifika home
Kabla sijaleta, ungesema ulitumia njia ipi uliyoshindwa ili tuokoe muda.
1) Ukishatoka kwenye factory Reset, Unawasha simu upya,
2) Unatafuta wireless (wiFi) ya karibu unajiunga nayo,
3) Itakupeleka kwenye kuweka gmail,
4) Pale kwenye kuweka email unafungua Keyboard kisha unaenda kwenye setting,
5) Hapo kuna njia mbili ya kwenda kwenye Language au TouchPal,
6) Shida ni kua kwa youtube nilizoziona hizi njia mbili zinakufikisha kwenye setting ya kawaida, but kwangu haifiki huko
 
kwani bado hujafanikiwa?
 
Sawa. Naona karibu inafanaba na aliyoleta mdau mmoja hapa JF siku za nyuma. Jaribu huenda itakusaidia. Yeye alisema;
Kikubwa Fanya Hivi!
Tafuta wifi....kwenye Kuingiza Password keybord itapop up...ikisha pop up tafuta option ya kwenda settings za simu!
Option ya settings ikishajitokeza nenda kwenye wifi then connect!
Ukishaconnect nenda kwenye apps afu uende kwenye youtube!
Ukishafika kwenye youtube nenda kwenye Data usage halfu click
Hapo itakuletea option ya kuingia mtandaon chagua chrome!
Ukishachagua chrome usi log in kwenye chrome just click No, Thanks
Then search Apk inaitwa The Test DPC 3.0.6...then download
Ikishamaliza kudownload pop up itakuja kwamba download done!....click then install the app
Aftel installation pop up itakuja kwamba open!
Open halafu nenda kwenye option ya ku encrypt hapo uwe ushaclick option ya ku wa new user
Hakikisha simu yako ina zaidi ya 80% chaji....after encryption utakuwa usha bypass google verification!
 
Sorry Mr Easy,
Hii solution ilikua specifically kwa Tecno N2??
 
nimekutumia link ya thread juu umepuuza sijui hujaona ,,angalia vyema ni rahisi tu iyo simu
Nimeiona Boss wangu,
Shida kwenye ku download ile file uliosema vimekuja vitu sivielewi,
Nimefika hapa nika download lakini kinachokuja sikielewi,
upload_2018-1-11_18-57-51.png
 
Back
Top Bottom