Hilo Raniah ndio lenyewe aisee, natamani mwanangu wa kike nimute Thalia! (Taliah) ila sometime kuna kajina flani amazing kananitangulia nafikiri ataitwa βCandiceβ sitaki watoto wawe na herufi za mbali sana. A-D hapoInatokea asee unachanganyikana hadi unashindwa kufanya maamuzi....hata mimi nlikua nauliza watu nimuite nani mwanangu π, nlikua nakusanya maoni
Ramona (mona) au Raniah, bahati mbaya hata hajaitwa hayo, Ramona lilikua jina la ndoto yangu
HahahhahahahahahaIla hapo naanza kuelewa, yaani nisikie mtoto wangu eti umempa jina umeenda kuuliza mitandaoni, nitakupa kisago hadi ujambe..
Chama πClatous
Yani ikifika mwaka 2030 matokeo yote ya la 7 yatakuwa yamejaa...Vitoto vyote vya kiume nchi hii vimepewa hili jina
Bahati mbaya kawa ***** sahiziHehe wengi walilifahamu baada ya kuangalia The Karate Kid movie aliyoigiza Jaden Smith mtoto wa Will Smith enzi hizo akiwa cute boy, basi ndiyo wazazi wengi wakakwamia hapo.
Sema kweli? To be honest sijawahi kutana na ilo jina mtaani, ndugu, majirani & marafiki.Hilo jina limekuwa kama Toyota IST! Kila mtoto aliezaliwa ndani ya miaka hii mitano anaitwa jaden!
Hivi hamnaga majina mengine mpaka mtoto apewe jina la kihanisi la mtoto ***** wa will smith?
Utakuwa unakaa mitaa ya uswahilini sana basi! Jimix kwenye mazingira ya watoto wa kishua kwenye ma malls yale na michezo na mikusanyiko yao utaliskia sana!Sema kweli? To be honest sijawahi kutana na ilo jina mtaani, ndugu, majirani & marafiki.
Labda huko kwenu Dar.Utakuwa unakaa mitaa ya uswahilini sana basi! Jimix kwenye mazingira ya watoto wa kishua kwenye ma malls yale na michezo na mikusanyiko yao utaliskia sana!
Kwa hapa dar ndio balaa!
Au Braden.Mimi ndo baba wa mwana huyo naomba tafadhari mwanangu aitwe "Brian"!
Yes, Braiden!Au Braden.
Jina la mwanangu hili,mkoa mzima majina ma3 tu kama hayo dadeq[emoji12]Au Braden.
Huu ni uashamba kila muvi ukiangalia utampa jina mwanaoππππHabari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo lipi zuri kati ya haya manne tunaomba mtuchagulie moja zuri kuzidi mengine, majina tuliyopendekeza ni Prince, Jaden, lucious, na jaydan. Tunaomba mtuchagulie lipi lipite Kati ya haya na Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu.