Msaada: jina zuri kati ya haya

Basi litafaa [emoji2][emoji847]

sikuaga najua maana akee ila nikisikiaga hilo jina basi nareflect yule Jaden wa will smith[emoji1][emoji1]

nikajua mayb ndo their rolimodo
Maana yake ndoimenifurahisha zaidi, maana mtoto mwenyewe kapatikana kwa maombi
 
Imagine mtu anatafuta jina la mtoto kwa kura za wanaJF [emoji22]
Jamani majina tumetafuta sisi tumependa majina manne ndomana nimeomba msaada tuchaguliwe moja zuri ili tusikie na maoni ya watu kwenye wengi Kuna mengi bila kuja huku nisingejua maana ya jina Jaden Ila kupitia jf leo nimejua maana yake, alafu nimeomba tu msaada mbona watu wenye upendo wananisaidia kuchagua wewe Kama huna jina ulilopenda pita hivi au kaa kimya siyo lazima unichagulie tusichoshane, watu wengine bwana mnapenda tu kuchafua uzi za watu hivi mpoje????!!!!!
 

Nimechafua uzi wako kivipi?

Halafu uzi ukishauweka jukwaani ni wa kwetu wote,sio wako
 
Kumar ni jina zuri la kihindi muite hilo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…