Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,526
Hayo maua ya yellow yako mawili mkuuinakuaje mbili iwe moja, umekosea kidogo
Hayo maua ya yellow yako mawili mkuuinakuaje mbili iwe moja, umekosea kidogo
Angalia wenzako hapa wanaendelea kusalimu amri mmoja baada ya mwingineinjinia kwel kabisa hilo jibu hapo?? au umeghalifika kwa bahati mbaya
Hili Ni Jibu Kwa 100% wala halina ubishi. ila HKL utawaona tu mana watapata 27!!!!! How???%20 + 20 + 20 = 60
20 + 5 + 5 = 30
5 - 2 = 3
1 + 20 x 5 = 101
The answer is 101
By Kap Mat, Reg. Eng. (Telecommunications)
Sijaelewa
No doubt ulipitia PCM that is why your answer ni ✓✓✓✓✓red=x, 3x=60,x=20. eq...(1).
blue=y, x+2y=30, but x=20 then 20+2y=30, 2y=30-20, 2y=10, y=5. eq..(2).
yelow=z, then y-z=5-3=2
finalize yelow+red*blue= 2+20*5=102.
finaly red=20, blue=5 and yellow=2 which gives you 102 kasimu kangu kamchine kwa hyo ukichukua 102-1 =101 ndio jibu