Msaada jibu la Quiz ni ngapi?

Msaada jibu la Quiz ni ngapi?

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
35554F1900000578-3644084-image-a-23_1466054917883.jpg
 
inakuaje mbili iwe moja, umekosea kidogo
Muache mwenye marking scheme aje aseme mwenyewe, wengine hapa sisi ni wahandisi so hisabati ni kama maji kwenye damu
 
inakuaje mbili iwe moja, umekosea kidogo
wewe ndo umekosea hayo maumbo ni unknowns kwa hiyo baada ya x,y and z akatumi hayo maua
ua jekundu=x
ua la blue=y
ua la njano=z
so kwa kutumia algebraic xpression jibu ni 101
x=20, y=5, z=1. hivyo jamaa yupo right.
 
20 + 20 + 20 = 60
20 + 5 + 5 = 30
5 - 2 = 3
1 + 20 x 5 = 101

The answer is 101

By Kap Mat, Reg. Eng. (Telecommunications)
injinia kwel kabisa hilo jibu hapo?? au umeghalifika kwa bahati mbaya
 
Jibu ni 101.

Alizeti zipo mbili ambayo kila mmoja ina value ya 1.
 
wewe ndo umekosea hayo maumbo ni unknowns kwa hiyo baada ya x,y and z akatumi hayo maua
ua jekundu=x
ua la blue=y
ua la njano=z
so kwa kutumia algebraic xpression jibu ni 101
x=20, y=5, z=1. hivyo jamaa yupo right.
Mkuu nimekupata, kumbe kuna njano mbili kwenye eqn 2, hapo sawa
 
Back
Top Bottom