Tetesi: Msaada jf nataka nianze kufanya kazi za computer

Peter Majaliwa

Senior Member
Jun 16, 2017
159
225
Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,557
2,000
Hahaa..
Sijaelewa kama hii in tetesi au unaomba msaada.
__
Content ya ulichoandika ndo nashindwa ng'amua kabisa, Basically I'm Computer expert nadhani ningekusaidia kama ningekuelewa
 

Hit Man 47

Member
Mar 29, 2019
60
125
Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
[/QUOT
Jamani msaada wenu naomba wajuzi wa computer mnifundishe japo kidogo tu jinsi ya kutumia hizo computer Asanteni
 

H sanny

JF-Expert Member
May 25, 2018
224
250
Elezea kiundani kazi gani unailenga, computer ina kaz nyingi

Mf: Uwez kusema "NATAKA KUFANYA KAZI KWENYE MAGARI" hali ya kuwa atujui unataka kuwa FUNDI, DEREVA au KONDA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom