Msaada: Je inawezekana ku-upgrade os ya smartphone?

Msaada: Je inawezekana ku-upgrade os ya smartphone?

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Natumia Tecno phantom, os 4.2. Can I upgrade it? Pls
 
Huwez upgrade simu ya mediatek os inayokuja nayo ndio hio hio
 
hayo ndio majanga ya mediatek.kuna post nyingi sana humu zinaelimisha uzuri na ubaya wa mediatek.uzuri ni kuwa na bei nafuu na ubaya huwezi kuapgrade os yake.hivyo hapo unatakiwa kununua toleo jipya la tecno na version ingine ikitokoka tena utanunua tena na tena.
 
Back
Top Bottom