Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Wataalam wa umeme nina adapta yangu inatoa umeme v12 sasa nataka niitumie kama chaja ya laptop ambayo inapokea votts 19. Hamna namna naweza kuifanyia makeke ikatoa v 19.
Maana vingine vyote kama ile pini inaingia vizuri kwenye laptop but shida ndio hiyo inatoa umeme mdogo
Maana vingine vyote kama ile pini inaingia vizuri kwenye laptop but shida ndio hiyo inatoa umeme mdogo