Msaada: Jaribio la kubaka

Patandi

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
399
372
Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo.

Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani.

Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
 
Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo. Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani. Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
sitaki kuamini kama ni kweli ila sikatai maana wabunge wetu watunga sheria ndo wametuletea sheria iliyo halalisha tozo.
 
Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo. Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani. Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
Rudi kawaulize polisi amewalipa kiasi gani?

Ipo hivi:-
Kutaka kubaka ni kosa kisheria na adhabu yake ni miaka 30 Jela. Hili ni kosa chini ya kifungu cha 132(1) & (2) cha Kanuni ya Adhabu.

Sasa kwa maelezo yako huyo jamaa ana fit kabis kuwa mtu aliyetaka kubaka, kwa sababu zifuatazo ambazo pia zimeelezwa kwenye hiyo sheria hapo juu.

1. Alikuwa ndie mtu mwenye mamlaka, kivipi?, kujifungia chooni na mtoto wa huo umri miaka 4/5 inamdanya kuwa mwenye kuamua mambo.
2. Lazima alimtishia huyo mtoto kama sio kumtishia basi alimdanganya/mlaghai huyo mtoto hapo

Sasa hapo kuna jambo linaitw RUSHWA limefanya kazi. Mkuu fanyeni kila namna haki itendeke sababu hadi sasa kuna mtu hatari mmoja yupo uraiani na haijulikani nani atakuwa muhanga wake. (Japo hatuwezi mhukumu sisi) ila kuna hatari mtaani kwenu.
 
Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo.

Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani.

Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
Kosa la kujaribu kubaka lipo na adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Sema vigezo vya kosa lenyewe havijatimia.Kosa la kubaka halitokei kwa mtoto chini ya miaka 18 bali Kuna kunajisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom