Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 462
sio kulalamika mkuu alikuwa hajui yote hapo juu ndio maana anaomba msaada,barua ya kuthibitishwa kazini inakuja baada ya muda gini baada ya kuanza kazi?maana kuna watu wamechukua mikopo na hizo barua hawana,na kuna mtu kaanza kazi mwaka 2000 barua kapata juzi,na keshachukua mkopo wa ujenzi muda mrefu,au ni hii halimashauri?
Unayajua masharti ya kuthibitishwa kazini???????????? huyo wa 2000 alikuwa hajathibitishwa?! Kuna tatizo kwa hao jamaa zako aisee. Nenda utumishi wakusaidie. Hapa mimi nina yangu mkuu, kila la heri...