Msaada jamani

Msaada jamani

Mmmm fundi kuchat na dada ndo roho itake kukutoka hahahaha usinchekeshe ungekuta anachata na Manji roho ingekua kuntu?
Hujatuambia wanachat nini hata hivyo cha kukutoa roho...
 
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada

Utakuwa unambana sana hana uhuru wa kutoka. Hao unaowaleta nyumbani kwa sababu moja au nyingine kama huyo fundi umeme, ndio nafasi yake.
 
Hata kama nilimwachia aendelee na shughuli yke alipaswa kujua majukumu yke yaliyomleta pale na sivinginevyo unaanzisha mahusiano na dada yng kwa kutumia mgongo wangu hii haistahamiliki
 
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada
Sa we dada yako unataka umgegede mwenyewe..?? Wivu mwingine muuache wakuu...
 
Nitamzabua vp ndo fundi wetu wa kitaa tunaemtegemea jamani
 
Kama nia yake ni kutaka kuunga udugu afuate taratibu
Hivi unadhani huwa wanaanza tu kuja kujitambulisha kabla ya kuchati...??? Wengine wanatia na mimba kabisa ndo wanatokea, itakuwa kuchati tuu.... BY THE WAY, WALIKUWA WANACHATI NINI...???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom