Msaada jamani

Msaada jamani

alley omar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
277
Reaction score
37
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada
 
Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada

We ulitaka dada yako achat na nani?.....na ana umri gani dada yako?ulijuaje kama ana chat nae?
 
hebu weka namba ya dada yako na ya fundi(hii sio muhimu wala hatutaitumia)hapa ili tunakusaidiaje
 
Unaishi wapi na nyumba iko mtaa gani, kuna msaada nataka nikuletee nyumbani kwako.
 
Mfate umzabue huyo fundi! Na umeme wake mrudishie!
 
Kwa hiyo shida ni kuchat au ni kwa kuwa jamaa ni fundi umeme? Kwani kuchat kuna shida? Labda sijaelewa concern yako? Kwani kuchat nako lazima dada akubaliane na atakachoambiwa na Fundi? Kwani ata akikubaliana naye si hiari yake mwenyewe? Labda kama hajafikia umri wa majority.


Hawa mafundi umeme wakitaka kunitoa roho nimempa kazi nyumbani kwangu baada ya wiki nakuta anachati na dada yngu nifanyeje jamani msaada
 
Lkn wakaka acheni wivu kwa dada zenu jamani, km ni mtu mkubwa na anajua jema na baya tatizo liko wapi? atapataje mwenzie km ww kaka kila ukiona mwanaume anamzungukia unaanza kelelel lol hii hatari sana, bora mie kaka zangu
 
bado sijajua tatizo ni nini hapo...........
mwenye dada hakosi shemeji , japo kale kadada changu kitenda mimba bado kanasoma huwa sipende mabazazi wamsogelee kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom