msaada jamani


Yo've got some natural psychic powers basi. . .ngoja ntaku pm nikwambie kitu.
 
Hivo vindege vinajiona kwenye kioo na kuanza kugombana vikidhani ni mwenzake.
Hapa jirani kuna jamaa side mirror yake kila siku ndege wanaigombania.
 
kwa kweli tatizo sijui.. ndo maana nimekuja hapa kuuliza je ni kawaida? kuna tatizo lolote ama kuna mtu alishawahi kuface hii kitu......

Mimi nahisi hapo hamna shida yoyote,bali ni woga wako tu,labda na imani tu ndio vinachangia.
 

Waooooo, charminglady, kumbe we ni mwenyeji wangu? Karibu sana huku home make vusenene vunazidi kuanguka!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hivo vindege vinajiona kwenye kioo na kuanza kugombana vikidhani ni mwenzake.
Hapa jirani kuna jamaa side mirror yake kila siku ndege wanaigombania.

Hata mimi nahisi hii ndio sababu...only reflection.
Kuna wakati fulani nishawahi kumshuhudia jogoo mmoja mtemi sana mtaani akipigana na kioo akidhani ni jogoo mwenzake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…