msaada jamani

Mtafute mfanyakazi wa ndani awe wa kabila la kirangi. Nakumbia atawatega ndege wote na kuwala. Warangi wanasifika kwa kula ndege wote mpaka bundi.
 
Mtafute mfanyakazi wa ndani awe wa kabila la kirangi. Nakumbia atawatega ndege wote na kuwala. Warangi wanasifika kwa kula ndege wote mpaka bundi.

Una utani na warangi?
 
Shem wataka ulimboo wewe? Mie wangu nnao, semea sijajua unautaka wotewote?
Unaazima?
Ni wa kufikia tu!

shem nataka ulimbo ili vikiwa vinakuja navinasa... sio ulimboo wako wewe!!!!
 
Viache nimekumaind.............mimi viko kwenye mlango wa kuingilia na vimejenga kabisa, hapa nilipokaa naona nyumba yao!

duh sasa ina maana kila ninakoenda vinanimind mkuu... tatizo sio vya aina moja wala sehemu moja!!!!
 
Kwa hiyo msaada hapa unatakiwa upi charminglady? Miss u
 
Last edited by a moderator:
Popote uendapo vinakufuata? Kama vinakuja viwili ujue vinakukumbusha ufunge ndoa mapema

teh teh teh.... nimecheka kweli huenda kuna ukweli!!!! ngoja nitafute mchumba... btw hata wewe unaweza kunitafutia!!!!

BADILI TABIA shost yan vinanisumbua kweli... hadi bafuni vinakuja dirishani!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtafute mfanyakazi wa ndani awe wa kabila la kirangi. Nakumbia atawatega ndege wote na kuwala. Warangi wanasifika kwa kula ndege wote mpaka bundi.

Mungi sasa hg wa kirangi ntampata wapi????
 
Last edited by a moderator:
Una utani na warangi?

Siyo watani tu Nicas Mtei, hawa jamaa ni kiboko ya ndege wote, wakimwacha kunguru ni bahati sana hahaaa!
Kwelea kwelea walinisumbua sana kwenye shamba langu.............. lakini nilipomweka mrangi kuniangalizia shamba mbona walikoma mazee
 
Last edited by a moderator:
Kondoa ndo wanapatikana charminglady, kama vipi nitume kuna sehemu wanaiita Ngarenaro ni kubwa kuliko Arusha nikuagizie fasta!

ntafutie basi... ila asiwe na mvuto akamtega my hezbend wangu @C6
 
Last edited by a moderator:
ntafutie basi... ila asiwe na mvuto akamtega my hezbend wangu @c6....

Hahaaaaaaa! Tangaza dau haraka..................... kuhusu kumtega huwa hawana shida.............. tena anamwuliza my hezbend wako kama imeingia........... hawaisikii kabisa so hata kumtega inakuwa ngumu
 
mmmmhhhh ka ni hivo sitaki tena!!!!!
 
jaribu kuchunguza dirishani vinapenda nini then jaribu kuwajengea bird feeder(nashndwa sasa ku upload picha hapa) dirisha lako likoje? Vindege hasa vidogo vinapenda sehemu flat kwenye kivuli vitapumzika hapo na kupiga story hata vingine kubanjuana hapo hapo. . .ushauri, just find a bird feeder itengenezewe chini ya kivuli uwe unawawekea hata vi punje punje wachezee kwa mbali wataondoka tu dirishani kwako. .
 
mkuu... tatizo ni kwamba si home pekee... hata niwapo safarini huwa vinakuja!!!!
 
mkuu... tatizo ni kwamba si home pekee... hata niwapo safarini huwa vinakuja!!!!

Yani hata ukiwa safarini vinakuja kwenye dirisha lako wewe tu? Thats a scene,geez, sasa, like kama ukiwa hotel mahali unastukia dirishani kuna vindege?
 
Yani hata ukiwa safarini vinakuja kwenye dirisha lako wewe tu? Thats a scene,geez, sasa, like kama ukiwa hotel mahali unastukia dirishani kuna vindege?

mkuu unaweza kudhani natania lakini ni kweli kabisa hata Mwenyezi Mungu ni shahidi.. nilliwahi kuvipiga picha ila nimeshindwa ku-upload hapa... yeah nikiwa hotelini vinakuja... huwa nasikia vitu vinagongagonga kwenye kioo nikienda kuangalia nakuta ni vindege tena viwili....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…