Msaada jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani

Discussion in 'JF Doctor' started by Nyuki baby, May 8, 2012.

 1. N

  Nyuki baby Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani msaada kwa wanaojua cku mbaya za mwanamke kupata mimba? Pleas!
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ya mkeo au unataka kuzini?
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Mzee unaogopa Mimba badala ya maradhi? by the way hakuna Mwanamke wa Kijanja anayepata Mimba bila yeye mwenyewe kutaka kubeba ujauzito, najuwa swali hili umeliuliza usiku mkubwa kama huu i hope utakuwa una-Game, kula raha Kijana wacha uoga wa Mimba.
   
 4. D

  Danvis Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole hutaki kujulkana nikidume jomba Mimba inamaanisha how u a mature enouph man.Piga mimba jomba upate hata kid.
   
 5. N

  Nyuki baby Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani labla cjatoa maelezo ya kutosha ni kwamba mm nna wife sema 2na baby ambaye bado ni "mdogo" then wife anataka baby mwingine na naona leo anantegeshea ss naogopa acje "kunasa" wenyewe cmjua life tafu! Pleas nisaidieni!!
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Huu ndio tunauita utoto, yaani Family plan ya nyumbani kwako unashindwa kupanga na mke wako unataka upangiwe na JF members!!

  Kila siku mnahubiriwa kwenye maredio na vipeperushi kwamba vunja ukimya ongea na mwenzako na wewe ndio unatakiwa umuelimishe sababu za uzazi wa mpangilio na hali halisi ya kiuchumi ilivyo.

  By the way kuwa na mke si sababu ya kukufanya usitumie Condom mnapokura uroda na mkeo, huyo mkeo anajuwa Vizuri siku zake mbaya na nzuri, sema na mkeo Mkuu, wewe wa wapi?
   
 7. N

  Nyuki baby Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jombaa km kuna wanawake wagumu kuelewa bac mi wife # 1 yaani nimetalk mpak bac sema nn naona hata ww hujui cku za hatari!

  wacha ni "chape ilale" maana hata izo condom zenyewe sina wacha nimpe haki yake!
   
Loading...