Ladyheart
Member
- Jan 30, 2009
- 58
- 7
Habari zenu,jamani mm nasumbuliwa na muwasho mwili mzima,nikijikuna natoka vipele vidogo vidogo,nimeshaenda hospital mara nyingi sana,nimepewa dawa za kumeza,nimechomwa sindano za mishipa,nimemeza dawa za minyoo,sioni kupata nafuu...mara ya mwisho niliambiwa nina protini nyingi kwenye mkojo,ili nizitoe hz protini basi ninyewe maji mengi,huu ss ni mwaka wa pili tatizo lipo palepale..naombeni msaada jamani kwa mwenye kujua.