Msaada jamani.

Ladyheart

Member
Jan 30, 2009
58
7
Habari zenu,jamani mm nasumbuliwa na muwasho mwili mzima,nikijikuna natoka vipele vidogo vidogo,nimeshaenda hospital mara nyingi sana,nimepewa dawa za kumeza,nimechomwa sindano za mishipa,nimemeza dawa za minyoo,sioni kupata nafuu...mara ya mwisho niliambiwa nina protini nyingi kwenye mkojo,ili nizitoe hz protini basi ninyewe maji mengi,huu ss ni mwaka wa pili tatizo lipo palepale..naombeni msaada jamani kwa mwenye kujua.
 
ni suala la kitabibu zaidi... liwasilishe JF doctor unaweza pata msaada
 
kama unawashwa nafikiri una allergy, jaribu kujua ni lini uawashwa, au ukila vitu gani hiyo hali inakutoke, au nguo za material gani. sababu ni nyingi. kuhusu protein lazima uangalie labda una UTI. kama unatoka kanda ya ziwa labda una kichocho. na hopital nenda za maana. maji si tiba ya kuondoa proteini. lazima kujua sababu.
 
asante kwa ushauri wako,but UTI sina kwani nimepima,wala kichocho pia sina..kwa allergy sijui ngoja nikapime kesho nione.kwa upande wa nguo pia nimejaribu kuchunguza sijapata jibu..
 
protein ktk mkojo pia yaweza kuwa matatizo ya figo. chunga afya yako.
 
nenda hospital ya maana wakakufanyie culture. sio kila malazi yaliyopo yanafahamika tiba yake pia malazi mengi hayafahamiki. kwenye hicho kipimo wanakutoa damu alafu wanacheki kuja kuna wadudu aina gani na wanauwawa kwa dawa gani
 
kesho ntaenda kufanya hy culture ili nijue nn tatizo,kwani nateseka sana,ngozi yote ya mwili imeharibika.
 
Habari zenu,jamani mm nasumbuliwa na muwasho mwili mzima,nikijikuna natoka vipele vidogo vidogo,nimeshaenda hospital mara nyingi sana,nimepewa dawa za kumeza,nimechomwa sindano za mishipa,nimemeza dawa za minyoo,sioni kupata nafuu...mara ya mwisho niliambiwa nina protini nyingi kwenye mkojo,ili nizitoe hz protini basi ninyewe maji mengi,huu ss ni mwaka wa pili tatizo lipo palepale..naombeni msaada jamani kwa mwenye kujua.
We kapime hiyo aleji/mzio halafu urudi hapa utambie, utapona tu
 
Itakuwa bora vile vile ukawaone wataalamu wa magonjwa ya damu waitwao Haematologists, naaming pale Muhimbili wapo. Kila kheri na pole kwa muwasho huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom