Msaada jamani

Msaada jamani

Mallaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
2,554
Reaction score
48
Habari wana JF,
Jamani niko na swali moja ninalohitaji msaada wenu.
NAILIZA kuwa hivi ukinunua gari toka Zanzibar (let say as a second hand) na uko dar,ukilileta huku unapaswa kulipia tena ushuru wa kuliingiza? Au unaliingiza tu kama unavyotoka Arusha,mwanza au Mbeya?
 
Kama kuna procedure zozote za mhimu kufuatwa kwa yeyote anayejua naombeni taarifa zaidi.
 
Mi nnachojua kuna kitu unalipia kinaitwa 'difference' si unajua kodi ya znz ni ndogo kuliko ya bara,kwa kuwa wakati inaingizwa znz ililipiwa kodi ya huko kwa hiyo unalipa ile tofauti ya kodi ya kule na ya hapa.Tusubiri mzoefu zaidi atupe maelekezo zaidi ya hizo procedures.
 
VAT Act ya 1997 R. E 2009 section 3 inaelezea kama kodi ya ongezeko la dhamani(VAT) iliyolipwa znz kwa sheria za kipndi unaagiza gari ni ndogo kuliko ya bara, utalazimika kulipa tofauti(kiasi kilichopungua.) na kama kodi iliyolipwa kwa kipindi hicho itakuwa sawa na ya bara, hutatakiwa kulipa kodi nyingine.
 
many thanks VOR!

Back
Top Bottom