Msaada Jamani!!

Budodi12

Member
Aug 8, 2011
47
13
Kwa aliye download PDF ya selected applicants IFM anisaidie kujua kama kuna la LEONARD SAMWEL in information technology. Niko kijijini jamani sina access ya mtandao kabisa ila kuna jamaa leo kanipigia simu anadai kacheki jina langu kwenye gazeti.
 
Jamaa kaniambia kachek gazeti la Nipashe hakuniambia niko selected programme ipi but IFM niliapply information technology through tcu!
Na cha ajabu zaidi jamaa hapatikani kwenye simu yake
 
Back
Top Bottom