Msaada jamani wanajamvini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani wanajamvini

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sina pa kwenda, Aug 15, 2012.

 1. S

  Sina pa kwenda Senior Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari zenu wanajamvini, mie nina dogo wangu mmoja alikuwa anapply via tcu sasa ikawa inamgome sana akaenda tcu walikuwa pale viwanja vya posta wakajaribu nae wakaona kweli inagoma alikuwa anaapply cbe evening undergraduate sasa yeye inakuwaje kwenye suala zima la kujua kama kachaguliwa au laah.
   
Loading...