Msaada jamani wana jf

Msaada jamani wana jf

kato Kazi

Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
38
Reaction score
21
Hivi second selection aliyesikia tetesi zinatoka lini? maana kuna jamaa mtaani kwetu anasema aliomba siku waliofungua mtandao (CAS) mara ya pili anadai kashapatiwa majibu kuwa amechaguliwa ni kweli naombeni msaada maana na mimi nasubiri second selection.
 
Nashukuru mkuu maana km umekosa first round afu mwingine anakwambia kaomba second round na kapata unawaza km umetemwa tena.
 
Cheki profile yako kiongozi, weng waliorudia second round wameandikiwa you have provisional selected in one of your choice............ Piga sala mkuuu
 
Hivi second selection aliyesikia tetesi zinatoka lini? maana kuna jamaa mtaani kwetu anasema aliomba siku waliofungua mtandao (CAS) mara ya pili anadai kashapatiwa majibu kuwa amechaguliwa ni kweli naombeni msaada maana na mimi nasubiri second selection.
uliombA nacte au tcU?
 
Back
Top Bottom