Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jamani ushauri

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by DAVIES, Sep 1, 2012.

 1. DAVIES

  DAVIES JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  jamani niliwahi kuajiriwa katika wilaya moja na mshahara ulikuwa ni TGS... Nikafanya kazi mwaka moja nikapata matatizo kidogo nikaacha kazi bila taarifa wakafunga na mshahara wakapita hadi wahakiki baada ya muda nikaomba hospitali ya taifa na nikapata nakuanza kazi na salary ni PMG.... Je nauliza payrol inaweza kutoka tena au ndio napoteza muda tu mnishauri nipo njia panda jamani mnaoelewa maswala ya ajira
   
 2. DAVIES

  DAVIES JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hamna ushauri hapa wadau jamani
   
 3. DAVIES

  DAVIES JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  du wadau wamesusa
   
Loading...