Msaada jamani unaitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani unaitajika

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JosM, Jul 22, 2009.

 1. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naombeni msaada wenu,leo nilikuwa nachat na m-dada moja hivi nikamuuliza habari ya kupotea akanijibu "nimepotea wapi hivi umechanganyikiwa jana si nimechat na wewe" nikacheka kwani najua sijachat nae karibia mwaka sasa,akaniambia siku zote tunachat na kuongea kwenye simu leo inakuwaje namuambia ameadimika.ilikuzibitisha anakayo ya sema akaniambia messanger yake ame-select sehemu ya ku-save data za watu wote anaochat nao na akanitumia maongezi (text) ambazo zinaonyesha mda na siku na maneno.

  Nilistuka sana nikaingia kwenye email ilikubadilisha password nika kutana na hii MSG hapa chini
  [​IMG]
  nimejaza maswali hayo na sijafanikiwa kuingia kwenye A/C yangu ya Yahoo!
  msaada tafadhali.
   

  Attached Files:

 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu JosM, hiyo msg nimuhimu sana kwako. Kutokana na watu kuwa walifungua akaunti zao na kusahau details walizoingiza, yahoo walianza kuweka hiyo page ili uweze kuwa na majibu muafaka ya "Secret questions". Hivyo jaza hiyo kitu haraka, na waweza kutumia maswali yao, ama kuweka maswali yako mwenyewe ambayo lazima uje ukumbuke majibu.

  Siku ukipata tatizo utaulizwa hayo maswali ili kurudishiwa akaunti yako. Hivyo jaza wengi tutumiao yahoo tumeshajaza hilo.
   
 3. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu nakumbuka niliwahi kujaza na majibu ya maswali niliyo wahi kuyajaza nina ya kumbuka.leo na shangaa tena nimeletewa hii msg kwa mara nyingine. baada ya kujaza hayo maswali ndipo nimekumbana na ili tatizo siwezi kuingia tena kwenye email yangu na ambiwa nimekosea password.
   
Loading...