sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
habari zenu wanajamvi..kwa wale wapenzi wa muvi za mambo ya kisayansi na teknologia (SCI-FI) naombeni mnisaidie...nilitazama muvi hii zamani kidogo (kama miaka 3hivi iliyopita sijui) na sasa nimeitafuta tena hii muvi bila mafanikio tatizo kubwa ni kukumbuka hata lile jina lenyewe...ingawa nahisi jina lina kitu kama adrenalinetrain hivi (nimejaribu sana ku search google kwa kutumia keywords mbalimbali za jina hilo bila mafanikio)
Muvi yenyewe ipo hivi: kuna kifaa kilianguka kutoka kwenye satellite huko juu sasa kuna watu walikiokota (sikumbuki kama walikifungua au lah) ila kuna ugonjwa flani uliibuka kutokana na kifaa hicho ambao ulileta balaa sana kwa wanasayansi kwani hawakujua tiba yake na kila walivyokuwa wakijaribu ule uginjwa ni kama ulikuwa unajua na kujibadilisha kutoka form moja kwenda ingine...kuna kipindi walituma ndege ya kivita kwenda kupiga bomu la nyuklia lakini kabla hata ndege haijafika ule ugonjwa uliishambulia ile ndege ikiwa angani kwa kama kuiyeyusha hivi (rubani wake alikuwa msichana)...pliiz kama kuna mtu anaifahamu au anahisi ndiyo hiyo anisaidie...naitafuta sana!