Msaada jamani msaada nisaidieni nimekwama.

Msaada jamani msaada nisaidieni nimekwama.

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
Nikitaka ku instal program kwenye comp yangu, badala ya kuniletea mchakato wa ku instal inaniletea kibox kilicho andikwa File Conversion-EXCEL.EXE. pia hata niki iwasha inaleta kitu hicho hicho. nifanyeje?
 
Samahani,nahisi unatakiwa kuongeza maelezo ili ueleweke vizuri,ulitaka kuinstal program gani?Office au?Hicho kibox kilichoandikwa File Conversion-EXCEL.EXE. kinatokana na files za hiyo program(umeclick file za hiyo program unayotaka kuinstal kikaja au?) unayotaka kuinstal aukimetokea kwingine?A problem well explained is half solved.
 
Back
Top Bottom