Msaada jamani, mahusiano yangu yana shida nzito

Msaada jamani, mahusiano yangu yana shida nzito

Kama kweli uliyeandika ndiyo mwanamme basi kazi ipo.

Eeh Faiza wee kuwa uyaone.
 
Mambo ya harusi itakavyokuwa waachie wanawake ndio mambo yao ww hakikisha inaweza kufanyika tu
 
Umewahi kumpigia cm kwa kutumia code number hii 0713 au hii ya kisasa 0653?
Kama hujampigia cm kwa kutumia code number hiyo lazima akupe majibu hayo. Mabinti wa kisasa wanapenda sana huo mtandao. Jinyenyekeze kwake na umpigie cm kwa code number hiyo utakuwa umemaliza mzozo.
Pole sana mpendwa.
Mmmh
 
Wadau!

msaada please!

Nina mchumba niliyekaa naye miaka sasa, tukiwa katika kujadili namna ya tutakavyooana, yeye amekuwa mpinzani lakini indirect way.

Ahhha...tumekuwa tukizozana sana kwani yeye anataka nifuate mawazo yake, yangu amekuwa mpinzani wa mawazo yangu...


Sasa leo..tumezozana kwa njia ya message mpaka ananiambia "I hate love" kiukweli kauli hii imenisononesha sijamjibu tena.Nimeona nikae kimya....


JE, wadau hii ni dalili gani? na inakuwaje mpaka dada anapata ujeuri huu wa kuniambia haya?


JE, Nifanye nini nirusishe AMANI YANGU NA MIPANGO YANGU YA KUOA/KUMWOA?


MSAADA WADAU WAZOEFU NIPO KWENYE MIIBA.
Kuna tatizo Angalia yawezekana kapata boy mwingine anamvuruga akili ,kaa naye chini taraaatibuuu mamboo yanaenda taratibuu mpaka yanaishaa ,huu mchezo hauihitaji hasira
 
Kile anachotegemea kutoka kwako hakipati, hujakuwa serious na mapenzi yake na kila anapohitaji kukuelezea hutaki kumuelewa
Umenena vema. If only men could understand what women want, migogoro mingi ingepungua. Mara nyingi wanawake wanataka vitu vidogo sana ambavyo wanaume wanavipuuza na shida inaanzia hapo
 
Mnapishana nn?
Ebu tuambie kwanza ww unasema nn na yy anasema nn mpaka mpingane kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom