2 pacha
Senior Member
- Dec 15, 2013
- 123
- 195
jamani ndugu zangu wana jf nilikuwa naomba msaada wenu kwa yoyote yule anayekaa maeneo ya Nyanshishi kata ya buhongwa wilaya ya nyegezi mkoa wa mwanza au kama kuna mtu ambaye unamfahamu anakaa maeneo hayo naombeni pls mniunganishe nae. coz kuna ndugu zangu tuliopoteana nao kwa mda mrefu nasikia wapo huko alfu me npo dar ukicheki npo xkuli so inakuwa vigumu me kwenda kwa mda huu, pls naombeni msaada wenu.