danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
Nina kadi yangu ya CRDB VISA Nnimkuwa nikiitumia kufanya manunuz ya mtandaon tangu nipewe nilishafanya manunuz Mara 4 tu na zote ilikuwa mwezi wa 5 ,na kabla ya kufanya hiyo mihamala Nina hakikisha nimeweka kiasi cha kutosha kwenye akaunti, sasa baada ya kupita miez kadhaa majuz nkaweka laki 2 na nusu kwenye akaunti yangu cha ajabu hii hela nikijaribu kuitoa naambiwa sina pesa za kutosha nimejaribu ATM ,fahar huduma,kuja mpesa bila mafanikio baada ya kuwapigia simu naambiwa hyo pesa sio yangu imeshikiliwa kutokana na online purchase nlizowah fanya huko nyuma wakati kiukwel hzo transaction nilishakatwa huko nyuma sa inakuwaje hii laki 2 yangu nliyodeposit nayo ishikiliwe,sasa Hv nko kijijin huku hata bank hamna nashindwa hata kuifatilia hii issue ,naomben mnijuzee kuna yeyote aliyewah patwa na hii issue na ilikuwa solved vipi ?ahsanten