Msaada wa ufafanuzi kuhusu kozi fupifupi za Kompyuta

Whitney Houston

JF-Expert Member
Jan 5, 2019
213
403
Habari wakuu. poleni na majukumu. turejee Kichwa cha uzi.(Hii ni plani B nimeamua kuigeukia baada ya plan A kufeli kwa kushindwa kuripoti chuo mwaka Jana na mpaka sasa ni mwaka nipo tu na naona mtaani hapasomeki kabisa. Elimu. yangu ni o'level.Naomba kuelimiashwa yafuatayo:

1: Basic computer application (hii nimeshajifunza).Vs International computer driving license (ICDL )
  • Hivi hizi kozi zinafanana kwa content au ni kozi mbili tofauti?
  • Naomba kufahamu ABC's za ICDL
  • ICDL inasaidiaje ktk kujikwamua kiuchumi?
  • ICDL inasomwa na mtu yeyote tu anaevutiwa au ni mpaka uwe tayari una career flani na ICDL ni kama unajiendeleza?
2: Certified Information System Auditor/CISA /(hii imenivutia tu ktokana na Jina lake lilivyo,anayeifahamu kiundani anipe ABC's.

(a) Eti anaweza soma yeyote tu anaevutiwa au mpaka uwe na career flani na CISA ni kama kujiendeleza ktk career yako?
(b) kwenye matangazo ya kozi ikiandikwa kozi flani "certification professional au Tailor Made professional course "wanakua wanamaanisha nini?

*je! kusoma kozi kama certification na kusoma kozi hyohyo kama tailor made kunautifauti gani?

*Eti wakuu,nikijifunza skills
. a:Basic printer and Photocopier maintenance
. b:Laptop repair and maintenance
. c;Data analysis using SPSS
. d:Oracle Database Administration. na
e:Certified Information System Auditor
Takua nimepata kitu? au mnanishairije …??

Nawasilisha
 
kama upo mwanza njoo chuoni kwetu.tuna kozi ya basic computer applications na advanced computer applications ,kozi izi 2 zina modules sawa ma zile zinazofundishwa katk ICDL.
 
glory college of computing and Information technology.
Nimekitafta gugo ili nipate website yenu nijue kipo mwanza sehemu gani,mbna sijakiona?Kimesajiliwa na veta kweli? Nitumie link ya website yenu/kipeperushi/brochure nataka kujua orodha yote ya koz fupi mnazo toa maana nina uhitaji wa kozi zaidi ya moja.
 
chuo bado kipya kozi ni mbili tu kwa sasa.Basic Computer na Advanved computer application
 
Back
Top Bottom