Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,692
Niaje Wazeiyaaaah....
Ebana leo niko serious kidogo hivo nahitaji pia wachangiaji serious.
Mtakaoleta kebehi natanguliza shukran tuu..
issue iko hivi:
Mdogo wangu anajiandaa kuingia chuo mwaka huu (kamaliza six) sasa katika kuomba mkopo kuna STEP mbili.
1. unajaza information zako online. then ukimaliza...........
2. una print form zako una attach na other documents unazituma bodi ya mikopo (kwa njia ya
Sasa wakat wa kujaza info online dogo kuna sehem kakosea, badala ya kuweka mtaa anaoishi MFEREJINI yeye kajaza TIPTOP (anaishi manzese actually). Amegundua tayari ashaprint form. Sasa naulizan kuna uwezekano wa ku edit info na kuprint tena form mara ya pili??
Maana nackia kuwa ukishaprint form ndo bas tena huwez ku login na kuedit kitu.
Shida yetu kubwa ni kuedit jina la mtaa pale.
TUmejaribu ku login kwa username na password yake but sioni interface ya kuedit.
JE ndio haiwezekan tena WAKUU wangu??
Tafadhalini msaada jamani. Uinjinia wangu naweka pembeni kwa sasa.