Msaada jamani jinsi ya kujiunga na kutumia BBM messenger

Msaada jamani jinsi ya kujiunga na kutumia BBM messenger

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
353
Habari zenu wanajamii ninatumaini muwazima nimefanikiwa kununua Backberry ila kiukweli sijawahi kutumia haswa kwenye upande wa hii wanaita BBM sijui massanger ninaomba msaada wa kujiunga na kuitumia na pia kuadd contact
ninatanguliza shukran zangu
 
  • Thanks
Reactions: idg

Jamani hata mimi nahitaji msaada wa kujiunga na BBM.
 
Utumiaji wake ni rahisi na unaanza kwa kulipia blackberry service kwa ISP wa kampuni unayotumia line yao, ukifanikiwa kureceive settings za internet na kuwa connected kinachofuata ni kufungua hiyo BBM Messenger andika jina ulipendalo kulitumia na utakua tayar. Step inayofuata ni kuchek na ndugu jamaa na marafiki watumiao blackberry na utaweza kuadd pin zao na mtaanza kuchat. Angalia screen shots hapo chini zkionyesha jins ya ku-add contact

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Attachments

  • tapaupload0.jpg
    tapaupload0.jpg
    21.6 KB · Views: 148
  • tapaupload1.jpg
    tapaupload1.jpg
    26.1 KB · Views: 146
Anza kuingia hivi kama inavyojielekeza kwenye picha hapa chini
 
Mtoa mada atlest rekebisha, siyo massanger, ni messenger.
 
Kaka wewe ni mzoefu wa backberry nisaidie yangu haitoi simu imapokea tu
 
Karibu kwenye ulimwengu wa BB mkuu, ukifanikiwa add me: 21C00D62, na kwa wakuu wote tuaddiane
 
Back
Top Bottom