Tumbo linauma sana!Vitu vinanichoma kwenye kuta za tumbo utadhani nimemeza vitu mithili ya misumali. Nimeshafanyiwa vipimo vingi hadi nimefika rufaa mbeya wanadai ugonjwa hamna.
Sasa nikiwa na njaa nguvu zinaisha na ninalegea mpaka naanguka!Nikila chakula tumbo linajaa,linakuwa kama puto.
Msaada wenu wadau.
Sasa nikiwa na njaa nguvu zinaisha na ninalegea mpaka naanguka!Nikila chakula tumbo linajaa,linakuwa kama puto.
Msaada wenu wadau.