Mkuu.
Umesahau kujaribu memory card nyingine kwenye hiyo Ascend yako. Tujue tatizo ni sd card au slot ya kusomea memory card?
As mdau alivyo comment hapo juu, kuna baadhi ya simu zinachagua memory card. Ulivyo jaribu kwenye Nokia imekubali, sasa chukua memory ya hiyo Nokia weka kwenye Huawei tuone.