Msaada jamani hiki ni nini?

Math 4:8 Alichukuliwa mpaka juu milimani na ibilisi akataka kuhongwa miji ibilisi kama vile yeye siye anayemiliki hiyo miji , utopolo mtupu
Kama mudi alivyofinywa pangoni 😅😅
 
Aisee,
Kiarabu ni kama Lugha nyingine zozote, hata Michael Naweza jua Kiarabu wakati Mohamed anajua vzr kiebrania.
Uache kukariri, nyakati hizi kila kitu ni kinawezekana!
Wewe ndio uliekariri sio Mimi. Kwahiyo kitu chochote kinachohusu uganga mnamsumbua jamaa kisa mmekariri. Waislam koko wa JF wenyewe wameshindwa😂
 

Uislamu na uchawi mbali mbali.

Washirikina ni viumbe waovu kabisa kama Anavyosema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):


إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ أَهْلِ الْكِتَابِ وَالْمُشْرِكِينَ فِي نَارِ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا ۚ أُولَٰئِكَ هُمْ شَرُّ الْبَرِيَّةِ
98:6 Al-Bayyinah (The Clear Evidence)
Hakika walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina wataingia katika Moto wa Jahannamu wadumu milele humo. Hao ndio viumbe waovu kabisa.
 
Ikojolee Mkuu
Kisha weka Mfupa wa Kitimoto

Cc Mshana Jr
 
Upumbav tu wa kiarabu huo kojolea choma moto hakuna baya lolote... Watu wapuuzi huamini ushirikina
 
Hiyo usiogope,chukua mti wa yombiyombi,changanya na mawe yenye idadi ya familia yako,,kisha mchanga wa nje ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…