Msaada Jamani-Course

Kituku

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
238
24
Wanajamii
Poleni na shughuli za hapa na pale
Naomba msaada wenu, nina mdogo wangu amemaliza degree ya social work 2008, ni mfanyakazi (social welfare officer) anahitaji kuongeza ujuzi katika mambo ya Project Planning /Monitoring and evaluation, yoyote mwenye linki, au anafahamu chuo au NGO inayotoa course hii naomba msaada wake..

napendelea zaidi iwe TZ, Kenya au Uganda.
Iwe kati ya 1-2 weeks
iwe kati ya april- august

Nitashukuru sana
 
Back
Top Bottom