Msaada: Natafuta kazi yeyote

tax compliant

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
1,211
1,195
Natumai mu wazima wakuu.

Kwa mara nyingine tena nakuja jukwaa hili kuomba nafasi ya kazi yoyote halali, chini ni baadhi ya sifa ninazokidhi.

ELIMU NA UZOEFU
>Nimehitimu bachelor degree in taxation (ifm) na nina upper second GPA (4.0)
>Nimefanya kazi na mamlaka ya mapato(TRA) hivyo nafahamu vizuri taratibu za kodi
>Nimefanya shughuli za uhasibu serikalini hivyo nafahamu pia taratibu za kihasibu (accountancy)
>Katika masomo ya darasani nimejifunza taratibu za fani mbalimbali ikiwa ni pamoja na uhasibu (accountancy and auditing), kodi aina zote na sheria zake zote(taxation)
Utafiti (research) na taratibu zake kwa vitendo
>Banking (hii niliisoma kama option ili kujua taratibu za kibenki na financial institutions nyingine)
>computer na applications za kihasibu (tally na epicor) nina uwezo mzuri wa kutumia computer.

Kuna vitu vingi naweza kuisaidia organization kiutendaji na pia naweza kufanya kazi mbalimbali (multitasks) chini ya usimamizi mdogo na pia ni kijana mwaminifu.

Wakuu, kwa yeyote anayeweza kunisaidia naomba ani-PM au aniite tu kwenye comment nitaku-PM na utafahamu zaidi kunihusu (CV)
 
Usikate tamaa ndugu kwa majibu, kila mtu atajibu anachoona kinafaa kuongea ila ipo siku nawe hauta kuwa unaangaika hivi..maombi yazidi kuimarika
 
Natumai mu wazima wakuu.

Kwa mara nyingine tena nakuja jukwaa hili kuomba nafasi ya kazi yoyote halali, chini ni baadhi ya sifa ninazokidhi.

ELIMU NA UZOEFU
>Nimehitimu bachelor degree in taxation (ifm) na nina upper second GPA (4.0)
>Nimefanya kazi na mamlaka ya mapato(TRA) hivyo nafahamu vizuri taratibu za kodi
>Nimefanya shughuli za uhasibu serikalini hivyo nafahamu pia taratibu za kihasibu (accountancy)
>Katika masomo ya darasani nimejifunza taratibu za fani mbalimbali ikiwa ni pamoja na uhasibu (accountancy and auditing), kodi aina zote na sheria zake zote(taxation)
Utafiti (research) na taratibu zake kwa vitendo
>Banking (hii niliisoma kama option ili kujua taratibu za kibenki na financial institutions nyingine)
>computer na applications za kihasibu (tally na epicor) nina uwezo mzuri wa kutumia computer.

Kuna vitu vingi naweza kuisaidia organization kiutendaji na pia naweza kufanya kazi mbalimbali (multitasks) chini ya usimamizi mdogo na pia ni kijana mwaminifu.

Wakuu, kwa yeyote anayeweza kunisaidia naomba ani-PM au aniite tu kwenye comment nitaku-PM na utafahamu zaidi kunihusu (CV)

Kwa hiyo GPA kwa nini usiende kupiga chaki vyuo vikuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom