msaada jaman wa Activation security shield | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada jaman wa Activation security shield

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Dio, Feb 13, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mambo vipi wakubwa/
  naombeni msaada wa activation security shield ya avira coz co yangu imejaaa virus wengi sana au ni njia ipi naweza kuitumia ili niwaondoe hawa wadudu wote?
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu, ninachotaka kukuambia Security Shield ni fake spyware ambao huwa wan spy information zako na huwa inaleta usumbufu sana mara inaonyesha imeditect trojan, malware, nk halafu inakuambia remove ukitaka ku remve inakuambia ingiza actvation code au nunua online kwa kutumia visa card, master card n.k usijaribu kufanya hivyo mkuu huo ni wizi wa kwenye internet... na ant virus uliyo nayo ya avira haiwezi kutoa hiyo security Shield... unachotakiwa kama una internet download kuna kifaili kidogo kinaitwa r kill hiki kina teminate application za malwares ikiwemo hiyo security shield,... uki google download r kill kitakuja pale save kwenye desktop halafu downloa malwarebytes ant malware... then run hicho ki faili cha r kill ukimaliza utaona kimefungua kama file la notepad minimize run hiyo malwarebytes ant malware subiri mpaka imalize mpaka mwisho halafu utafuta procedure zote utaona ikishamaliza ku scan katika listi ya malware waliokua detected utamuona na huyo security shield ukiangalia vizuri itakuambia remove the selected items, utasema ok/yes then computer itazima na kuwaka utakua umeshamuondoa huyo security shield na kila kitu kitakua poa..

  Note
  ukiona huwezi kurun hiyo r kill restart computer yako halafu bonyeza F8 ije kwenye safe mode... make sure r kill na malwarebytes zipo kwenye desktop au flash then fuata procedure za hapo juu..
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante kaka ngoja nifanye hvyo.
   
Loading...