acanthocyte
Senior Member
- Nov 27, 2012
- 190
- 159
Tatizo una haraka kama jogoo.
Una umri gani?
Asante dada.Pole! Subiri tu akina mzizimkavu, Asprin na wengineo watakupa tution, usikonde hii ndo JF hakiharibiki kitu hapa
Bado sijaoa. Kwanini ya teenager na husababishwa na nin?Matatizo ya teenager hayo but nashangaa we kwa umri huo bado una tatizo hilo.Kwani umeoa?
Ushaur wako namba moja na mbili hasa ndo nao utumia mara nyingi, lakin si-enjoy sababu nakua nafanya kazi ya kumfurahisha yeye pekee. Kama nilivyosema kuwa wakat mwingine innapoingia tu wazungu wanatoka.binafsi mimi si mtaalamu saana but ushauri wangu unaweza kukusaidia kidogo
1. Tumia muda mrefu saana kumuandaa mwenzio (i mean romance) mpaka uhakikishe amepoteza network.
2.ukiona tayari hayupo amepoteza network anza kazi rasmi.
3.ukiona kama wazungu wanakuja jaribu kustop kwa muda that (to and fro motion) afu hamishia mawazo yako katika jambo lingine.
4.then endelea na to and fro motion
Ushaur wako namba moja na mbili hasa ndo nao utumia mara nyingi, lakin si-enjoy sababu nakua nafanya kazi ya kumfurahisha yeye pekee. Kama nilivyosema kuwa wakat mwingine innapoingia tu wazungu wanatoka.
binafsi mimi si mtaalamu saana but ushauri wangu unaweza kukusaidia kidogo
1. Tumia muda mrefu saana kumuandaa mwenzio (i mean romance) mpaka uhakikishe amepoteza network.
2.ukiona tayari hayupo amepoteza network anza kazi rasmi.
3.ukiona kama wazungu wanakuja jaribu kustop kwa muda that (to and fro motion) afu hamishia mawazo yako katika jambo lingine.
4.then endelea na to and fro motion
Ntajitahidi kufanya kama mnavyonishauri. Lakin hili tatizo husababishwa na nini?... kwa kurahisisha mambo hapo No. 3 fikiria huyo demu kama ana HIV halafu kondom ipasuke bila wewe kushtukia mapema ITAKUWAJE?
Ukimaliza mapema wewe bassss tena.