msaada jaman mbona girlfriend wangu hafiki kileleni ?

msaada jaman mbona girlfriend wangu hafiki kileleni ?

Pole sana...

Inawezekana ikawa ndiyo maumbile yake... hawezi fika huko unapotaka afike...

Au inawezekana hakuna chochote kinachomfuraisha kutoka kwao...


Cc: mahondaw
 
Message…habari zenu bwana jf, niende moja kwa moja kwe mada, kiukweli nimekuwa na huyu binti kwa muda kama miezi saba hivi tatizo hafiki kileleni hata nikidum kifuan kwa masaa atakuwa anatatizo gan? naomben ushauri wapendwa.
Kwani huwa mnavyokuwa mnaelekea huko kileleni mnatumia usafiri gani?
 
Subiri uje usaidiwe, kwa sasa endelea kukaa kifuani masaa mengi.
 
Hahaha...ndio sababu, Siku nyingine tumieni miguu
yaan ww, kama helicopter imeshindwa kwa miguu ndo tutafika kwel? alafu kuna misitu huku njian before you reach the peak unataka tuliwe na wanyama wakali nn?
 
yaan ww, kama helicopter imeshindwa kwa miguu ndo tutafika kwel? alafu kuna misitu huku njian before you reach the peak unataka tuliwe na wanyama wakali nn?
Hamtoliwa, labda muamue kujila wenyewe
 
Hakupendi, anakosa munkali ukiwa juu ya kifua chake. Jichunguze halafu jirekebishe "ataanza kufika mwisho wa safari.[emoji23]
 
Kwako amependa hela mapenzi ya dhat atajua wapi anapata pili dudu yako nch ngapi?
 
Kuna sehemu kwake hauzifikii unaweza kumfanya afike kileleni hata kabla hujaingia ikulu, Kazi kwako
🙂
 
Back
Top Bottom