Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,664
- 112,818
selfish ni nyie vidume mnaokuja kujiliza liza hapa navikesi vya kuboya boya....Kwahyo kutendwa ,kuchitiwa ni mwanamke tu mwanaume hana hisia au ye robot?
Stop being selfish
selfish ni nyie vidume mnaokuja kujiliza liza hapa navikesi vya kuboya boya....Kwahyo kutendwa ,kuchitiwa ni mwanamke tu mwanaume hana hisia au ye robot?
Stop being selfish
selfish ni nyie vidume mnaokuja kujiliza liza hapa navikesi vya kuboya boya....
hahahahhahaha, nilielewa mkuu na nimeelewa. Umli
Hujajib swali mama
So kutendwa au kuchitiwa na mwanamke tu?
Besides kujiliza hakuna uhusiani na being selfish like your statement(I some vizuri comment yako)
Wana utoto mwingiii....Huo umri unakuathiri nini sasa
eeeeh wanaume wa siku hizi...
Kama huo mwaka ameongezeka jana kuamkia leo na atakuwa anaongezeka kila siku basi usimuoe maana atakuacha mbali sana,ila kama alikuzidi tangu ulipokuwa unamtongoza basi kuwa tu mkweli kuwa umemchoka!!!
Bwana yesu asifiwe mpendwa....
huo mwaka mmoja ndo usababishe uje kutafuta ushauri au kuna mengineyo kwenye mtima wako
aman kwenu wana jf, naomben msana wa ushaur, nna mpenz wangu tumekua katika uhusiano kwa mda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakin mpenz wangu huyo yan mke wangu mtalajiwa ananizid umli ana 28 nami nina 27 . je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?
Umeiona imekomaa sana kuliko ya kwako au? mmhh mimtu mingine bhana!aman kwenu wana jf, naomben msana wa ushaur, nna mpenz wangu tumekua katika uhusiano kwa mda mrefu sasa, tunapendana na tunaaminiana pasipo na shaka ya aina yoyote hadi kufikia uamzi wa kuja kuishi pamoja kwa siku zijazo, lakin mpenz wangu huyo yan mke wangu mtalajiwa ananizid umli ana 28 nami nina 27 . je kuna tatizo tukiishi pamoja kama familia moja.?
besti umejuaje kama yeye ndiyo aliyetongoza na si kutongozwa?
nataka tu kupata uhakika........
Bestiiiii!!!!
atakuwa alitongoza yeye bwana!!
Mpuuzi tu hana lolote