Msaada: Ipi simu kali kati ya Samsung S 8 na Samsung A30s

Msaada: Ipi simu kali kati ya Samsung S 8 na Samsung A30s

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,348
Reaction score
4,918
Nahitaji kununua simu, wataalam nisaidieni ipi kali kati za hizo mbili
Samsung A30s vs Samsung S8.
 
A30 , descent performance una uhakika wa updates mpya pia battery life itakuwa bora kuliko s8. S8 itakupa performance nzuri zaidi lakini ishaacha kupokea updates mda mrefu sana, so features mpya usahau. In terms of camera, display S8 ni bora
 
Iko poa sana hiyo A30s ila nakushaur chukua Samsung M30s au ziko poa sana betri 6000mah na mengine mengi Samsung hawana kazi mbovu camera 48mp kali kinyana bei haizidi laki 6 ingia mtandaoni uzione au M31 hii camera ni 68pm na mambo mengine hayatofautiani na hiyo M30s ila bei ya m31 ni kali nikama laki8 maana ni dora 300 na point ila kama mfuko wapo ni mdogo angalia inayoweza kuimdu ila mi skushaur ununue Samsung ya mwaka juzi wakat kuna za mwka huu ama mwaka jana ziko poa za kisasa na android 9 lakin zinaoata android hizo za mwaka juzi nyingi hazipati ada ya android 10 ndo hasara wanazopata wanaonunua cm za miaka ya nyuma sana pia kuna cm za kampuni ya xiaomi ziko poa sana na bei ya kawaida
Screenshot_20200305-201314_Chrome.jpeg
Screenshot_20200305-201213_Chrome.jpeg
 
Hii kitu S8 ione hivi hujatumia mnyama mwingine. Kuna jamaa yangu ana Samsung A80 na kwaumbo iko good na manjonjo kibao ila kwa graphics/display na kamera aliipenda S8 yangu. Kwanza nilimuwekea App ya Dstvnow tukaanza kustream alishanga muonekano wa Supersport S3 kwake na kwangu kuwa tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]. All in all simu hizi matoleo ya sasa ya Samsung A series mimi naona ni zakawaida kiufundi. Hivyo tumeletewa tusikimbie soko la Samsung make hapa kati Simu kama Oppo, Xiaomi, Oneplus, Meizu, Realme zimetaka kumpindua Samsung akashtuka so akaona alete simu za bei cheap ambazo ni Samsung A versions.
Chukua s8 flagship...achana na hzo mid-range..jiwe Lina camera kali, performance nzur, Android pie, battery very descent..hiyo a30 bado sana kwa s8

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mim nashanga hapo juu kuna watu wanazid suggest hayo ma A seriz against Flagship et kisa ni ya mwaka 2017 [emoji2]

Ogopa sana simu ambayo kwa mwaka inatoka yenyew tu. Sasa hizo A seriz wanafyatua kila siku
Hii kitu S8 ione hivi hujatumia mnyama mwingine. Kuna jamaa yangu ana Samsung A80 na kwaumbo iko good na manjonjo kibao ila kwa graphics/display na kamera aliipenda S8 yangu. Kwanza nilimuwekea App ya Dstvnow tukaanza kustream alishanga muonekano wa Supersport S3 kwake na kwangu kuwa tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]. All in all simu hizi matoleo ya sasa ya Samsung A series mimi naona ni zakawaida kiufundi. Hivyo tumeletewa tusikimbie soko la Samsung make hapa kati Simu kama Oppo, Xiaomi, Oneplus, Meizu, Realme zimetaka kumpindua Samsung akashtuka so akaona alete simu za bei cheap ambazo ni Samsung A versions.


Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasemaga na narudia kusema.
A-series za mwaka jana na mwaka huu Hamna kitu haya madude...

Samsung hawajawahi to mid range Kali kama A-series za 2016...
Zile mashine zikiongozwa na
Samsung A9 Pro 2016(Samsung ya kwanza kugonga 5000mAh).....
Hata ki muonekano zilikua juu....
Halaf pembeni pale unakua C 9 Pro.....
Acha kbsa... Ila now days jama mid-range zao wanazingua sana...

Hembu ona Tofaut ya A-series za 2016 na haya ya sasa

A series za 2016 body ilitengenezwa kwa Glass-
A series za 2020 body inatengenzwa kwa cheap plastic...

A series za 2016 frame ilitenenezwa kwa alminium ya kuvutia...
A series za 2020 frem plastic...

A series za 2016 kioo kilitengenezwa kwa gorilla glass v4-
A series zaa 2020 unatumia Normal glass.?

A series za 2016 ina Ram 4GB na C9 6GB ram..
A series za 2020 unatumia hio hio au chini?

A9 pro 2016 ina Samsung Pay, Samsung health n.k
A za 2020 nyingne hazina.....

Sitaki kuzungumzia Display quality..
Audio/speaker quality N.k n.k
Screenshot_2020-02-21-08-43-20.jpeg
FB_IMG_15813391425645790.jpeg
 

Attachments

  • FB_IMG_15813399817695660.jpeg
    FB_IMG_15813399817695660.jpeg
    18.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_2020-02-21-08-44-19.jpeg
    Screenshot_2020-02-21-08-44-19.jpeg
    11.5 KB · Views: 17
  • FB_IMG_15813391693235621.jpeg
    FB_IMG_15813391693235621.jpeg
    8.6 KB · Views: 18
Nahitaji kununua simu, wataalam nisaidieni ipi kali kati za hizo mbili
Samsung A30s vs Samsung S8.
Kama wadau walivyosema huko juu hazifananishiki, by far s8 ni simu nzuri zaidi.

Na hata ukaaji chaji ni debate, A30 itakaa na chaji sana kama s8 yako inarun QHD, ila uki optimize mwenyewe sd 835 kwenye s8 inakula umeme mdogo sana, ukiweka na resolution 720p na theme nyeusi s8 inaipita A30 ukaaji chaji.
 
Back
Top Bottom