MSAADA:Ipi ni kozi nzuri ya computer kwa mwanasheria?

Mkuu, inategemea wewe unataka na unapenda kitu gani, na sheria ipi unataka kubase in.
well, ili nisikupitishe kwenye mzunguko mkubwa, kama unajua office, that is quite fine, unless kama unataka kudela na cyber crimes, then you need a base of ICT and the internet world, actually, not as in light base, much of a deep one, to the basement.

ni mtazamo wangu, unless uwe na maelezo ya ziada, nitakusoma zaidi mkuu MzungukoMnangani
 
Last edited by a moderator:
binafsi yangu mi siamini kibongobongo eti coz flani kwa ajili ya nani, labda kwa wenzetu huko...!! we kama unauwezo kamua tu coz yoyote ya computer ulingana na uwezo,uelewa na mipango yako ya baadae...siku hizi hata mtu aliyesomea uhasibu ni kawaida sana kumkuta anafanya kazi za IT baadae and viceversa!! its just a matter of how you play your cards!!
 
Mkuu, inategemea wewe unataka na unapenda kitu gani, na sheria ipi unataka kubase in.
well, ili nisikupitishe kwenye mzunguko mkubwa, kama unajua office, that is quite fine, unless kama unataka kudela na cyber crimes, then you need a base of ICT and the internet world, actually, not as in light base, much of a deep one, to the basement.

ni mtazamo wangu, unless uwe na maelezo ya ziada, nitakusoma zaidi mkuu.Thnx mkuu kwa wazo lako,kiukwel nataka kuspecialize kwny cyber crimes coz kwa hapa bongo bado hyjajulikana sana das y nataka kuongeza upeo kwny hii k2 kdogo
 
binafsi yangu mi siamini kibongobongo eti coz flani kwa ajili ya nani, labda kwa wenzetu huko...!! we kama unauwezo kamua tu coz yoyote ya computer ulingana na uwezo,uelewa na mipango yako ya baadae...siku hizi hata mtu aliyesomea uhasibu ni kawaida sana kumkuta anafanya kazi za IT baadae and viceversa!! its just a matter of how you play your cards!!
ASANTE ndugu ila msaada nnao hitaji ni zile course za computer ambazo ztakuw na msaada juu ya taaluma yang ya sheria na co course za kwenda kutafutia kazi,hop 2meelewana ndugu
 
ASANTE ndugu ila msaada nnao hitaji ni zile course za computer ambazo ztakuw na msaada juu ya taaluma yang ya sheria na co course za kwenda kutafutia kazi,hop 2meelewana ndugu
ushauri ninaoweza kukupa kwa hili: coarse zote zinazotolewa huwa wanatoa contents zake, sasa kabla hujaamua kuifuata angalia yaliyomo kisha fananisha na yale yanaohusiana na sheria uliyosoma then go fo it..ila kaa ukijua IT ni uwanja mpana sana ila vitu vingi vinategemeana mno, so pamoja na kutaka kufanya selection ya coz bado inabidi uwe flexible sana kukubali kusoma na hata visivyohusiana na sheria ili uwe competent!!
 
ushauri ninaoweza kukupa kwa hili: coarse zote zinazotolewa huwa wanatoa contents zake, sasa kabla hujaamua kuifuata angalia yaliyomo kisha fananisha na yale yanaohusiana na sheria uliyosoma then go fo it..ila kaa ukijua IT ni uwanja mpana sana ila vitu vingi vinategemeana mno, so pamoja na kutaka kufanya selection ya coz bado inabidi uwe flexible sana kukubali kusoma na hata visivyohusiana na sheria ili uwe competent!!Tnx in advanc ndugu,ngoja nijarbu kuchek na website ya UCC kama itakuw na full details
 
Back
Top Bottom