Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Sony ipi bora na inamziki wa kutosha nikiweka ndani hata sifikiri kwenda bar tena.
Kama unataka mziki mnene, chukua music system (redio) na sio home theatre (ile deki na spika zake).
Watts (PMPO) zisipungue 7000 km sebule yako kubwa. Km ndogo hata 5000PMPO tosha.
Model. Chagua toleo la karibuni lina mengi zaidi. Kina haya ya sasa hv yamechongoka chongoka kiaina meusi. Utapata mziki wa nje ya dunia hii na unalink na smartphones fresh.
Hutainjoi muvi lkn. So in future ujipange kuchukua home theatre ya haohao Sony.