Msaada: Ipi bora kati ya samsung na sony home theater

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,355
789
Video ninayo aina ya samsung 48" sasa nataka kutafuta msaidizi wake ambayo ni kati ya brand hzo mbili za watt 1000 na zenye bluetooth ipi ni imara na yenye mziki wa kutosha na ni bora!!???? Na je kama nina tv ya sumsung je naweza kutumia home theater ya sony!!???

Cc
#bnl_electronics
#citikingzamaizinglifestylz
 
Kila kampuni ina eneo lake la ubora. Samsung ni kwenye simu, TV na mafriji labda...upande wa sound hao Sony ni habri nyingine kama ilivyo Canon kwenye camera
 
Sony wapo vizuri kwenye mziki, natumia model bdv-e4100 ina bluetooth, NFC, blu ray, 3D na wireless kwa ajili ya kuconnect internet.

Naitamani sana hii sony bdv e4100 unaweza kunipa ubora wake zaidi,naona pia inafanana mwonekano na sony dav dz650.
 
Asante wadau wacha nijitwalie le sony hlo niburudike
Lakin kuna ambayo inazidi watt 1000 wadau!!!????
 
Video ninayo aina ya sumsung 48" sasa nataka kutafuta msaidizi wake ambayo ni kati ya brand hzo mbili za watt 1000 na zenye bluetooth ipi ni imara na yenye mziki wa kutosha na ni bora!!???? Na je kama nina tv ya sumsung je naweza kutumia home theater ya sony!!???

Cc
#bnl_electronics
#citikingzamaizinglifestylz
TV sumsung ni perfect 100%
Ila kwa upande wa mziki SONY ndo baba yao
 
Kwa mziki na TV bado Sony yuko vizuri tatizo bei zako ziko out of reach kwa wengi,mfano mm nmetumia Sony music system ya mwaka 2015 na imekaa kwenye vumbi mwaka mzima lakin haina dalili ya kuchoka,Samsung iliharbka within 6months,pia TV kama uko kwenye eneo lenye tatzo la umeme na vumbi la kutosha nunua Sony,Samsung WAKO poa kwenye TV ingawa kwa durability hafiki nusu ya sony
 
Ninatumia home theater ya Sony DAV DZ 950 sijawahi kujuta aisee...ingawa sijui ni kwa nini kwenye sarround nikiweka Mult(yaani izungumze spika zote)huwa bass inapungua.
 
Naitamani sana hii sony bdv e4100 unaweza kunipa ubora wake zaidi,naona pia inafanana mwonekano na sony dav dz650.

Zinafanana lakini BDV E4100 ina mambo mengi ya ziada kuliko DZ650 kama 3D,Blue ray, NFC, WI-FI pamoja na port ya kuchomeka RJ45. Hutakaa ujute kununua hii home cinema.

BDV.jpg
 
Asante wadau wacha nijitwalie le sony hlo niburudike
Lakin kuna ambayo inazidi watt 1000 wadau!!!????
Mkuu January hii unanunua mziki?,duuh kweli vidole havilingani,mm hapa mawaza Ada, kodo ya nyumba,kijijini wanaanza kupanda naambiwa nitume hela ya mbegu,Nina ugeni wa dada yangu mumewe na vijomba vyangu vitatu wamevunjiwa mkwajuni,bosi nae ameongeza hesabu kwenye daladala Lake ninalozungusha tegeta -k'koo!!
 
Shida zako, maisha yako watu hawafanani
 
Sony ipi bora na inamziki wa kutosha nikiweka ndani hata sifikiri kwenda bar tena.
 
Ninatumia home theater ya Sony DAV DZ 950 sijawahi kujuta aisee...ingawa sijui ni kwa nini kwenye sarround nikiweka Mult(yaani izungumze spika zote)huwa bass inapungua.

Bass inapungua maana surround (spika zote) mostly ni kwa ajili ya movies. Muvi hazihtaj bass kubwa km muziki.
 
Back
Top Bottom