DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Nataka kununua Iphone ningependa kujua utofauti wa muhimu kati ya Iphone 4S na iphone4 Pamoja na utofauti wa bei zake kwenye maduka ya hapa bongo
kuna jamaa mmoja anayo huku....anasema honestly the only BIG difference is siri which inamsumbua coz english ndo hivo nehi....but if u have an iphone right now...simply upgrade ur software to ios5....youl basically have almost the same thing except siri....but kama mvumilivu subiria iphone5....was reading some tech blogs jana....naona wajuzi wanasema the iphone 5 is the last project ambao steve jobs alisimamia mwenyewe....and this most likely will have MAJOR changes....
Hope that helps.......
ps opt for one of the android phones as well, they are pretty "bareable"