Msaada iphone4S VS Iphone4

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Nataka kununua Iphone ningependa kujua utofauti wa muhimu kati ya Iphone 4S na iphone4 Pamoja na utofauti wa bei zake kwenye maduka ya hapa bongo
 
kuna jamaa mmoja anayo huku....anasema honestly the only BIG difference is siri which inamsumbua coz english ndo hivo nehi....but if u have an iphone right now...simply upgrade ur software to ios5....youl basically have almost the same thing except siri....but kama mvumilivu subiria iphone5....was reading some tech blogs jana....naona wajuzi wanasema the iphone 5 is the last project ambao steve jobs alisimamia mwenyewe....and this most likely will have MAJOR changes....
Hope that helps.......
ps opt for one of the android phones as well, they are pretty "bareable"
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri mzuri lakini ningependa pia kujua bei zake hapa kwenye maduka ya hapo Bongo coz naishi mbali na mji
 
kuna jamaa mmoja anayo huku....anasema honestly the only BIG difference is siri which inamsumbua coz english ndo hivo nehi....but if u have an iphone right now...simply upgrade ur software to ios5....youl basically have almost the same thing except siri....but kama mvumilivu subiria iphone5....was reading some tech blogs jana....naona wajuzi wanasema the iphone 5 is the last project ambao steve jobs alisimamia mwenyewe....and this most likely will have MAJOR changes....
Hope that helps.......
ps opt for one of the android phones as well, they are pretty "bareable"

Kwani hiyo iphone 4s alisimamia nani?!!!!...na hiyo iphone5 inatoka lini, maana hawa jamaa wasiri sana katika mambo yao. Mimi nadhani iPhone 4S=iPhone 5!!!
 
Back
Top Bottom