Msaada Iphone na Zain

Sabode

Senior Member
Apr 11, 2008
160
21
Salam hapa jamvini.
jamani naomba yeyote mwenye uelawa wa namna ya kuiset Iphone ili niweze kubrowse internet. nimejaribu kwa kutumia internet kwenda 232, inaniambia simu yangu haina uwezo wa kutumia MMs,internet na wap.
Lakini kuna jamaa yangu mmoja kanambia kwa sms hiyo iphone haikubari ila ukitumia manual configuration ina kubari.
Sasa mwenye uelewa msaada please
 
Piga simu customer care Zain, waambie wakupe manual configuration details.

Utapewa vitu kama access point name (APN), proxy, port etc.

Mimi nazijua configuration za tiGo, na pia niliwahi kuanzisha thread kuhusu hii topic. Hizi configuration nilipewa na customer care representative wa tiGo, so I hope utaweza kupewa na watu wa Zain pia.

Mwombe huyo jamaa yako akupe hizo configurations kama anazo.
 
Back
Top Bottom